TELEPHONE :

16035217180

TENZI ZA ROHONI

SKU: 2009
Stock: 33
Price: $29.95
$14.95

Qty: - +
   - OR -   

TENZI ZA ROHONI: Mkifundishana na kuonyana kwa zaburi na nyimbo, na TENZI ZA ROHONI: huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu ( Wakolosai 316)

This hymnal has been printed and distributed by Kenya Baptist Media.

Wachapaji wanaziombea nyimbo hizi kwamba zitakapoimbwa ziwe za kumsifu Mungu wetu anayestahili kusifiwa; tena ziwe nuru ya kuonyesha njia ya Yesu Kristo kwa wote watafutao. Tuimbe sote kwa kuitafakari maana ya maneno , huku tukimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwetu.

Kila wimbo una sababu yake na wakati wake wa kufaa kuimbwa. Kwa hiyo tuzichague nyimbo za kuimba mkutanoni kwa uangalifu wa uongozi wa Mungu.

Currently there are no reviews for this product. Share your opinion with others, be the first to write a review.

Add Your Review


Your Name:
Email Address:
Review:
Note: HTML is not translated! Your email address will not be shared with anyone.
Your Rating: 5
Verification:

Search

Cart Contents

Your cart is currently empty

Subtotal: $0.00

View Cart & Checkout

Sale Item

WORLD BOOKS AND RECORDS ©Copyright 2023 WORLD BOOKS AND RECORDS   -   Powered by SunShop "Shopping Cart Software"

  • paypal
  • american-express
  • discover
  • mastercard
  • visa