TELEPHONE :

16035217180

NYIMBO ZA INJILI

SKU: 0120
Stock: 200
Price: $39.95
$14.95

Qty: - +
   - OR -   

Ni matumaini yetu ya kwamba kitabu hiki cha Nyimbo kitathibitisha kuwa kitabu chenye mvuto na baraka nyingi kwa mtu mmoja mmoja na watu mikutanoni wanaotaka kumwabudu Bwana, kumwimbia sifa zake nyumbani, chuoni na kanisani. Nyimbo nyingi katika kitabu hiki zimepigwa chapa kwa mara ya kwanza katika lugha ya Kiswahili.

Twapenda kujulisha hisani na ustahivu wa watungaji na watoa vitabu zao nyingine ziliochaguliwa kutoka vitabu vya:

  • Nyimbo Standard cha Church Missionary Society
  • Nyimbo za Kikristo cha Seventh Day Adventist
  • Tenzi za Rohoni cha Mennonite Mission

Nyimbo zilizotolewa na vitabu vilivyotajwa juu zaonekana kwa kurasa kama NS, NK and TR

Currently there are no reviews for this product. Share your opinion with others, be the first to write a review.

Add Your Review


Your Name:
Email Address:
Review:
Note: HTML is not translated! Your email address will not be shared with anyone.
Your Rating: 5
Verification:

Search

Cart Contents

Your cart is currently empty

Subtotal: $0.00

View Cart & Checkout

WORLD BOOKS AND RECORDS ©Copyright 2024 WORLD BOOKS AND RECORDS   -   Powered by SunShop "Shopping Cart Software"

  • paypal
  • american-express
  • discover
  • mastercard
  • visa