TELEPHONE :

(480) 597-5572

KISWAHILI KWA DARASA LA PILI - KITABU CHA WANAFUNZI

SKU: 4904
Stock: 1
Price: $29.95
$19.95

Qty: - +
   - OR -   

KISWAHILI KWA DARASA LA PILI - KITABU CHA WANAFUNZI: Hili ni toleo la pili la Kiswahili Kwa Darasa la Pili. Kitabu hiki cha wanafunzi ni cha pili katika mfululizo wa vitabu vinane vya lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi.

Kitabu hiki kimefanyiwa marudio kwa mujibu wa silabasi mpya ya Kiswahili ya 2002 ya Darasa la Pili. Katika toleo hili, stadi ya kuandika maumbo ya herufi mbalimbali kwa mwandiko unaofaa imesisitizwa. Mpangilio mpya wa ngeli umezingatiwa - ingawa katika kiwango hiki hazijaangazwa waziwazi. Pia, maswala ibuka kama vile mazingira maadili na ukimwi yameshughulikiwa. Mifano, michoro na picha nyingi zimetumiwa ilikumhusisha mwanafunzi kikamilifu. Ni kitabu ambacho wanafunzi watafurahia kukitumia

ally Lupatu on 08/23/2019 12:02pm
Kitabu Cha darasa la pili

Add Your Review


Your Name:
Email Address:
Review:
Note: HTML is not translated! Your email address will not be shared with anyone.
Your Rating: 5

Search

Cart Contents

Your cart is currently empty

Subtotal: $0.00

View Cart & Checkout

Sale Item

NYIMBO CIA KIROHO

NYIMBO CIA KIROHO
$39.95 $34.95

0.0 Out Of 5 (0.0 on 0)

WORLD BOOKS AND RECORDS ©Copyright 2020 WORLD BOOKS AND RECORDS   -   Powered by SunShop "Shopping Cart Software"

  • paypal
  • american-express
  • discover
  • mastercard
  • visa