TELEPHONE :

16035217180

KISWAHILI KWA DARASA LA TATU- KITABU CHA WANAFUNZI

SKU: 5366
Stock: 1
Price: $39.95
$29.95

Qty: - +
   - OR -   

KISWAHILI KWA DARASA LA TATU- KITABU CHA WANAFUNZI : Hili ni toleo la pili la Kiswahili kwa Darasa la tatu. Kitabu hiki cha wanafunzi ni cha tatu katika mfululizo wa vitabu vya lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi. Kitabu hiki kimezingatia kwa kina na kwa namna ya kipekee mada zote zilizomo katika silabasi ya Kiswahili ya 2002 kwa Darasa la tatu.

Katika toleo hili, maswala nyeti yameshughulikiwa kwa uketo na usasa kama vile utaratibu wa ngeli kwa kuzingatia upatanisho wa viambishi kisarufi. Maswala ibuka kama vile haki za watoto, mazingira, ukimwi, uadilifu, jinsia, ajira za watoto na afya yameshughulikiwa kwa upana na utaalamu wa kupigiwa mfano

Mifano, michoro ya rangi na picha nyingi zimetumiwa ili kulifanya somo hili liwe la kuvutia zaidi. Mazoezi kemkem yanayozingatia vipengele vyote katika silabasi yamejumuishwa ili kumhusisha mwanafunzi kikamilifu. Kitabu hiki kinawalenga wanafunzi kutoka mazingira na jamii mbalimbali. Ni kitabu ambacho wanafunzi watafurahia kukitimia

Currently there are no reviews for this product. Share your opinion with others, be the first to write a review.

Add Your Review


Your Name:
Email Address:
Review:
Note: HTML is not translated! Your email address will not be shared with anyone.
Your Rating: 5
Verification:

Search

Cart Contents

Your cart is currently empty

Subtotal: $0.00

View Cart & Checkout

Sale Item

POKOT BIBLE: PIPILIA

POKOT BIBLE: PIPILIA
$49.95 $29.95

0.0 Out Of 5 (0.0 on 0)

WORLD BOOKS AND RECORDS ©Copyright 2024 WORLD BOOKS AND RECORDS   -   Powered by SunShop "Shopping Cart Software"

  • paypal
  • american-express
  • discover
  • mastercard
  • visa